Aisee 😅😅😅[emoji23] Ukiona napost usiku ujue nipo lindo me ni mlinzi
Eenh bwana kwahiyo ndio mda ninaopata nikiwa lindoni nakutumia wi-fi ya bureAisee [emoji28][emoji28][emoji28]
Lindo lako linafanya tunapishana. Sijui lini ntakukuta 😅😅Eenh bwana kwahiyo ndio mda ninaopata nikiwa lindoni nakutumia wi-fi ya bure
[emoji23] Leo na kesho nipo napatikanaLindo lako linafanya tunapishana. Sijui lini ntakukuta [emoji28][emoji28]
Nipe direction vizuri. Kumbukumbu imepotea kidogo 😅😅[emoji23] Leo na kesho nipo napatikana
He heNipe direction vizuri. Kumbukumbu imepotea kidogo [emoji28][emoji28]
😅😅😅 Machungu na hasira za jana, nilitaka ziishie kwenye magazeti na habari za hapa na pale. Ila mpostiji kala chocho 😅😅Toa assist basi
Mashabiki wa Simba hatujaamka bado[emoji1787]
Amelala Bado...😅😅😅 Machungu na hasira za jana, nilitaka ziishie kwenye magazeti na habari za hapa na pale. Ila mpostiji kala chocho 😅😅
Analalaje mpaka time hii? Uchumi wa nchi utashuka 😅😅Amelala Bado...
Siyo kwa shughuli ile ya kuwakanda Vyura😄
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haiwezekani..Analalaje mpaka time hii? Uchumi wa nchi utashuka [emoji28][emoji28]
Mwambie nimesusa, asipost tena. Sitaki arosto 😅😅😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haiwezekani..
[emoji1787] na ndio tunaamkaToa assist basi
Mashabiki wa Simba hatujaamka bado[emoji1787]
Kesho jamani magazeti ndio naamka kushangilia ushindi wa mnyamaaMagazeti yapo wapi [mention]Shunie [/mention] au ww shabiki wa UTOPOLO
Sijapenta