Farhan Jr
KIBU DENIS ACHAFUA HALI YA HEWA, habari nzima kwenye App! Weka bando lolote na ambaye hana mpatie hotspot! Ni stori ya Mkimbizi iliyobadilika kuwa simulizi kama Shabaan Robert.
Your pain, yet more my pain! Kutoka kambi ya Wakimbizi mpaka kambi ya Simba Sports, wape hii headline Wahariri kuhusu KDP, kidole mdomoni kwa ajili ya Haters wote, Kibu this Kibu that!
Aliitwa Djigui Diarra Mdaka Mishale, akaitwa Kibu mtoa roho! Aliitwa Diarra Screen protector! Akaitwa Kibu the Projector, Cleansheet? No he was the Beast.
The Kibu tumepigwa phrases! Ila Rastaman alimwachia Jah, nobody can stop Kibu! Kwenye derby ngumu mbele ya ukuta mgumu, eneo gumu na maamuzi magumu ndio namna Mchezaji mkubwa anakuamulia mechi kubwa.
Kipigo cha kwanza baada ya Massih kufufuka, zawadi ya kwanza ya maana baada ya Massih kufufuka na Eid ya mpira kabla ya Eid ya mfungo! Utulivu na amani, raha mustarehe kama Fanani na Hadhira, this is football hakuna hasira.
Ziache shangwe zao ziwe zaidi ya kelele zao juu ya KDP, kama Kigoma na Saratoga, kama Mbeya na Sauli, kama Tanzania na Kilimanjaro, kama Mnyama na mechi kubwa[emoji881][emoji109]