Kufundishwa " ushetani " 🤔
ShikamooAbeeeh
Marahaba haujambo atoto wanguShikamoo
Yewooooomi🙆🙆🙆🙆🙆😳😳😳😳😳Marahaba haujambo atoto wangu
We dogo huamkiagi wakubwaYewooooomi🙆🙆🙆🙆🙆😳😳😳😳😳
Adabu pekee ndio kitu ulikosa mdogo wangu.We dogo huamkiagi wakubwa
Njoo home uchukue nina cash tu😅😅😅Adabu pekee ndio kitu ulikosa mdogo wangu.
Njaa inauma, tuma na ya kutolea fasta.
Nenda hapo nje kwa mangi kwenye kibanda cha mpesa dogo🤣🤣🤣Njoo home uchukue nina cash tu😅😅😅
acha wogaaaa weweeee😅😅😅 njoo tu upeweeeNenda hapo nje kwa mangi kwenye kibanda cha mpesa dogo🤣🤣🤣
Kwahiyo unatuma au hutumi?acha wogaaaa weweeee😅😅😅 njoo tu upeweee
Wakala hawapo leoKwahiyo unatuma au hutumi?