Makapuku Forum

Makapuku Forum

Yaani auntie ninalala mapema sana ikishifika saa tatu au nne nipo kama teja
Dalili za utajiri hizo.. leo hujaposta magezeti mbona
rome.jpg
 
kila asubuhi asubuhi lazima nipitie vichwa vya habari, zamani kipindi sina smartphone asubuhi sana nawahi posta kusoma vichwa vya habari ndio narudi kulala tena
[emoji23][emoji23][emoji23] ebu acha basi mambo zako yaani unaenda post tu kwa ajili ya kusoma magazeti na magazeti yanauzwa sehemu nyingi za mtaani
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ebu acha basi mambo zako yaani unaenda post tu kwa ajili ya kusoma magazeti na magazeti yanauzwa sehemu nyingi za mtaani
😅😅 nyie watoto wa kisasa ndio mnaona haiwezekani .. ila sie wahenga unaona bola upande dala dala buku 2, ukasome hata vichwa vya habari vyote au wampoza muuza magazeti jero unasoma yote
 
Back
Top Bottom