Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji28][emoji28] nyie watoto wa kisasa ndio mnaona haiwezekani .. ila sie wahenga unaona bola upande dala dala buku 2, ukasome hata vichwa vya habari vyote au wampoza muuza magazeti jero unasoma yote
Kwamba posta mkishasoma mnapewa na michongo ya pesa au halafu me sio mtoto wa kisasa miaka yangu 50 utaniita mtoto wa kisasa ebu nitake radhi
 
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Mzigo unakata tuuuu 😅😅😅
ery.jpg
 
Kwa jero tu, unasoma yote huku unapiga kahawa na kashata.. unarudi home saa nne kama umetoka kazini kumbe kusoma magazeti [emoji28][emoji28][emoji28]

Haya bibi chekaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] magazeti yote kwenye ubao kumbe ndio maana nilijua mnasoma vichwa vya habari tu
 
Back
Top Bottom