IkMiss you zaidi Auntie wangu...
Nimerudi sasa...
Naona Notifications kwa App hakuna tena..
Heri ya mwaka mpyaIla Lee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa...
Marahaba.
Mh mbona me napata pata auntie bora umerudi tena leo nilitaka nije WhatsApp tar 30 jiandae tukae hata nusu saa nina ratiba ya kulala mjiniMiss you zaidi Auntie wangu...
Nimerudi sasa...
Naona Notifications kwa App hakuna tena..
Marahabaaa!Shikamoo
Na kwako pia Mpendwa[emoji2]Heri ya mwaka mpya
Mimi sipati Auntie...Mh mbona me napata pata auntie bora umerudi tena leo nilitaka nije WhatsApp tar 30 jiandae tukae hata nusu saa nina ratiba ya kulala mjini
Saa kumi nina kikao mikocheni nikitoka uko ndio nataka tuonane kama una mda lakini halafu nitaelekea magomeni kwenye birthday party ya dada yangu mmoja
Naaaam....Naaam...Auntie..Mh mbona me napata pata auntie bora umerudi tena leo nilitaka nije WhatsApp tar 30 jiandae tukae hata nusu saa nina ratiba ya kulala mjini
Saa kumi nina kikao mikocheni nikitoka uko ndio nataka tuonane kama una mda lakini halafu nitaelekea magomeni kwenye birthday party ya dada yangu mmoja
Picha kweli hazifungikiMimi sipati Auntie...
Hata picha hazifunguki...Shidah!!!
Kuna Uzi nimeona huko na Mello akawa anatoa Ufafanuzi....nimefanya kama alivyoeleza ila sioni mabadiliko...
Hahaha nusu saa tu auntie natakiwa niende kwa birthday ujueNaaaam....Naaam...Auntie..
Mambo napendaga mimi hayoo....
Hiyo siku nadhani hiyo nusu saa haitatutosha....Unajua[emoji2]
Maelekezo yafuate Watsap basi Auntie...
Tutajua bhana Auntie...Hahaha nusu saa tu auntie natakiwa niende kwa birthday ujue
Natamani upande juu juu tu ujionee mwenyewe [emoji1787] nikamwambia yupo kwaresma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah!!!...
Nimecheka sana...
Ungemwambia ni nini Auntie..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nacheka mimiTutajua bhana Auntie...
Hiyo nusu saa Inatoshaje yaani?[emoji2]