Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,493
- 176,574
🤣🤣🤣🤣Eeeeeh!!!!
Wewe!!! Hilo sijaliona...
Lipo kwa ME au KE?
Ngoja lile langu nilitafutie hati miliki...Mtu asiguse jina langu![]()
Wa dume jike, wanawake hawana hivyo viraru.
🤣🤣🤣🤣Eeeeeh!!!!
Wewe!!! Hilo sijaliona...
Lipo kwa ME au KE?
Ngoja lile langu nilitafutie hati miliki...Mtu asiguse jina langu![]()
Wa dume jike, wanawake hawana hivyo viraru.




Secret admirers🤣🤣🤣
Dah!!!!!
Ni wamekosa majina kabisa hadi wachukue ya wengine jamani?
Secret admirers
Sasa bwana wakati haupo bwana![]()





🤣🤣🤣🤣🤣Weeeeeee
Mbona imekuwa ghafla sana...
Na Auntie Shu hajaniambia hata..lol...
Eeeeh!!!ikawaje?
Walikualika?





Anasaka habari🤣🤣🤣
Ngoja aje....
Atakuwa anacharge simu..
hahahaha,shangazi uko vzr,inabidi twende katanga,mwezi octoberbonjour, ça va?
Tucheke tu..


maisha yenyewe mafupi haya auntie kuna mkaka kuna siku alipita makapuku akasema hili jukwaa halina hata wachangiaji yupo mtu mmoja tu nikamwambia mkuu ndio lilivyo hili jukwaa
Na me ndio nilivyomwambia na jf wamemwambia hili ndio mwisho tena kubadili kwahiyo auntie habadili tena linabaki hilihiliHalafu hivi nilikuacha na jina gani tena?
Bora ubaki hapa hapa tu...
Hili linakufaa sana...
Ujue wewe ni Mwehu...
Mbabu Mstaafu hapana..Nina huruma na watoto wa watu..



Kweli kabisa atoto na espy basii mara aksha mara sijui naniiiiKabisa..
Hili na lile lingine(espy) ndiyo yalikuwa yanakufaa...
Kwa sasa tubaki tu hapa...
Option watakuwa wamekuondolea wamechoka![]()
Na lili chillah sijui nimekosea kuna mtu nimeona analo
Halafu ni Mwanaume... nililiona mahali...
Itabidi uwe na orodha ya hayo majina yote umewahi kubadili..
Weeeh!! Mimi huyu huyu😳😳😳Auntie lakini si ulisema