Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ila huu uzi umeupambania sana. Wadau sijui walishaga kufa[emoji134][emoji134][emoji134]
Kama wamekufa Mungu awapumzishe kwa Amani.

Auntie kuna mda siingii jf nikija makapuku hakuna mtu nasema bwana sipost kitu huwezi amini ikifika mda mwenyewe napost tu [emoji23] yaani sijui ni nini
 
Kama wamekufa Mungu awapumzishe kwa Amani.

Auntie kuna mda siingii jf nikija makapuku hakuna mtu nasema bwana sipost kitu huwezi amini ikifika mda mwenyewe napost tu [emoji23] yaani sijui ni nini
Uzi wa tangu tarehe 9/04/2016 hadi leo sio mchezo hapo wapo walio kufa pia wapo walio hai. Watakuja kuchungulia kama nilivokuja mimi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom