Usijali mkuu ndio jukwaa letu lilivyoHili jukwaa mbona uchangiaji hafifuu, mtu mmoja tu!
....subiri kituko utakachokiona jengo halisi likijengwa. Jengo la darasa ulilosomea miaka hiyo ni zuri kuliko jengo litaloota hapoHuu ni muonekano wa jengo la abiria la Kiwanja cha Ndege cha Mpanda litakapokamilika, gharama ya mradi ni takribani Tsh. Bilioni 1.4 na jengo litakapokamilika litakuwa na uwezo wa kuhudumia abiria 240 kwa wakati mmoja.
Mkandarasi amekabidhiwa eneo la mradi Machi 2023 na unatarajiwa kujengwa kwa mwaka mmoja na Kampuni ya Ujenzi ni Wesons Engineering Limited.
View attachment 2562194
....unatupa lawama, umechangia jana hadi muda huu hujatokea. 😂Hili jukwaa mbona uchangiaji hafifuu, mtu mmoja tu!