Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,047
Aliyewahi kuwa Sheikh mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ambaye ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano Tanzania Sheikh Alhad Mussa Salum amekemea na kulaani mapenzi na ndoa za jinsia moja.
Sheikh Mussa amekemea hilo Dodoma kwenye siku ya maridhiano kitaifa leo March 03,2023 ambapo amesema "Shetani mwenyewe hafanyi hayo tena wanaita ndoa za jinsia moja hapana, huo ni uchafuzi wa jinsia moja tusiruhusu na sisi Viongozi wa Dini tutaendelea kulaani maana hata Rais wetu haruhusu vitendo hivi"

WYDAD 1-0 AS VITA
️ Magema (Og)
"Sisi ndio waanzilishi wa kila kitu, safari hii 'Kispika' kitakuwa Coco Beach. Jumapili itakuwa Wenye Nchi Beach Party, tunakula bata tunafurahi, tunanunua tiketi na jezi kwa ajili ya Vipers Jumanne.” - Ahmed Ally.