Naona umesusiwa huu uzi. Tuko pmj glory glory man unitedBaada ya mechi 40 za Erik Ten Haag hatimae Man United wanabeba kombe baada ya miaka sita kupita.
Nyieee mashabiku wa man u tujuaneeeeView attachment 2531211
Mkuu me hata nikibaki mwenyewe naenjoy wala usiwe na wasiwasiNaona umesusiwa huu uzi. Tuko pmj glory glory man united