Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Asante... Ngoja niweke ratiba nienjo the showSaa kumi jioni
Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
Asante... Ngoja niweke ratiba nienjo the showSaa kumi jioni
Vinci me jeshiii la mtu mmoja naweza kuwa mwenyewe tu najipostia habari zangu mchanganyiko kila siku na asitokee mtu zaidi ya mkwepu jr kuja kulikes na maisha yanaendelea mpenzi wangu baada ya week wanaanza kujitokeza mmoja mmojaShunie you're the last woman standing!
Miaka 5 sasa upo humu wengine wote washakimbia uzi![]()
Okay dear
Wacha we!!He he nacheka sanaaaa ila narudia hayawezi rudi kama mwanzo
🤔🤔🤔🤔🤔Je wajua inakujia na shunie shunie View attachment 2504335
Naona leo auntie umeiona threadMmmmh!
Kweli unajitahidi...HongeraVinci me jeshiii la mtu mmoja naweza kuwa mwenyewe tu najipostia habari zangu mchanganyiko kila siku na asitokee mtu zaidi ya mkwepu jr kuja kulikes na maisha yanaendelea mpenzi wangu baada ya week wanaanza kujitokeza mmoja mmoja
Asante sana Vinci yes nimekuita mpenzi, sio lazima uwe mpenzi wangu kukuita hivyo ni kiasi gani nakukubali kama rafikiKweli unajitahidi...Hongera
Ps. Umeniita mpenzi au nimeona vibaya
Aisee naona mwezi umeanza vizuri huu naitwa mpenzi.Asante sana Vinci yes nimekuita mpenzi, sio lazima uwe mpenzi wangu kukuita hivyo ni kiasi gani nakukubali kama rafiki
Kwahiyo ndio unatusengenya auntie🤣🤣🤣Vinci me jeshiii la mtu mmoja naweza kuwa mwenyewe tu najipostia habari zangu mchanganyiko kila siku na asitokee mtu zaidi ya mkwepu jr kuja kulikes na maisha yanaendelea mpenzi wangu baada ya week wanaanza kujitokeza mmoja mmoja
Jamaniii VinciAisee naona mwezi umeanza vizuri huu naitwa mpenzi.
Btw shukrani... It's something to me
Hii itakuwa imekufurahisha sana. Umeirudia rudia sana.Kwa mujibu wa ripoti iliyochapishwa katika tovuti ya IFHHS inayojihusisha na utoaji wa takwimu za michezo duniani imeonyesha kuwa Ligi Kuu ya NBC inakamata nafasi ya 5 barani Afrika na nafasi ya 39 Duniani.
View attachment 2504403
Hii itakuwa imekufurahisha sana. Umeirudia rudia sana.
hata sijui kama nimeirudia auntie🤣🤣🤣🤣🤣Naona leo auntie umeiona thread
Niambie Tina!! Habari za masiku?
Sasa si uzi huwa unapotea🤣🤣🤣