Leo haijapotea!!
Ila acha basi majungu auntie!!
Sasa auntie kwani uongo kila siku nipo peke yangu najipostia tu ningekuwa na roho nyepesi woiiii ningeshaacha hata kuingia humu
Kwahiyo leo auntie yangu mzuri umeuona eeenhSasa si uzi huwa unapotea![]()
Hivi makapuku walipotelea wapi? Maana mlikuwaga na moto balaa.![]()
Sasa auntie kwani uongo kila siku nipo peke yangu najipostia tu ningekuwa na roho nyepesi woiiii ningeshaacha hata kuingia humu
🤣🤣🤣🤣🤣Kwahiyo leo auntie yangu mzuri umeuona eeenh
Anakudanganyaga, huwa anachanganya na mavitu ya ajabu ajabu. Kikuu ni namba ingine!
Sijaona alichopost ila nahisi nyoka. Yaani hicho kiumbe sipatani macho hata picha tu sitaki kuona.
Just missing you maeNiambie Tina!! Habari za masiku?
Mie nipo nimejaa tele, wewe ndio adimu.
Vinci nakuomba sana sana usiwe unafanya hiviPole sana mpenzi nimefuta rudi Tafadhali
Majukumu auntie wote wapo nje ya jfHivi makapuku walipotelea wapi? Maana mlikuwaga na moto balaa.
Hahhaha sio kwa Lee woiii hata harufu hapatani nayoAnakudanganyaga, huwa anachanganya na mavitu ya ajabu ajabu. Kikuu ni namba ingine!
Ni huyohuyo sio picha hata jina lake usiku sitaki kuliona huyo mdudu ukimtamka tu usiku lazima uonane nayeSijaona alichopost ila nahisi nyoka. Yaani hicho kiumbe sipatani macho hata picha tu sitaki kuona.
Mbona unamtetea hivi!! Kuna ajenda gani ya siri?Hahhaha sio kwa Lee woiii hata harufu hapatani nayo
Mbona unamtetea hivi!! Kuna ajenda gani ya siri?

Sasa ajenda gani auntie namtetea ninavyojua jamani sio kwa ubayaMmmmmmh!!!Sasa ajenda gani auntie namtetea ninavyojua jamani sio kwa ubaya