Makapuku Forum

Makapuku Forum

Roberto Oliveira aka Robertinho
Screenshot_20221025-095142_OGInsta%2B.jpg
 
Moja kati ya wazo kubwa la Jose Mourinho ni kuwa wachezaji wote wenye asili ya Afrika wacheze kwenye timu zao za asili na sio Ulaya, anaamini Afrika ina uwezo wa kutoa bingwa wa kombe la dunia kama vipaji vyao vikavaa jezi za nchi zao.
Screenshot_20221025-095839_OGInsta%2B.jpg
 
Kocha Lavagne ana profile kubwa sana kuanzia soka la vijana nchini kwao Ufaransa mpaka mafanikio makubwa na timu za Afrika kwenye ngazi ya klabu, Azam walimuajiri na tayari katimuliwa.

Tujiulize maswali kadhaa ambayo yanafikirisha kama kila Kocha anashindwa kuyajibu, nani anayo majibu sahihi?

- Azam wanataka nini kwasasa? Wana mfumo sahihi wa kuelekea wanachotaka? Malengo yapoje kwa ajili ya kufika? Na je ni mchakato wa kulala na kuamka?
Screenshot_20221025-100707_OGInsta%2B.jpg
 
Moja kati ya wazo kubwa la Jose Mourinho ni kuwa wachezaji wote wenye asili ya Afrika wacheze kwenye timu zao za asili na sio Ulaya, anaamini Afrika ina uwezo wa kutoa bingwa wa kombe la dunia kama vipaji vyao vikavaa jezi za nchi zao.View attachment 2397170
Alisemaga pele kiwa timu ya africa itashinda kombe la dunia kabla ya mwaka 2000 lakini wapi.
Wanachoshundwa kutambua hawa watu ni kwamba tatizo la mpira africa sio ukosefu wa vipaji bali utawala mbovu katika soka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom