Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kutokana na wingi wa watu nchini Qatar ambapo hotel haziwezi kubeba idadi yote, basi kuna makazi maalum ambapo ni vyumba vya makontena, gharama yake kwa usiku mmoja tu ni zaidi ya 500,000 za kitanzania.
Screenshot_20221112-070330_OGInsta%2B.jpg
 
FACT FILE | Zimesalia siku tisa pekee kuelekea kuanza kwa fainali za kombe la dunia, ifahamike kuwa Qatar linakuwa taifa la tatu kutoka bara ya Asia kuhodhi fainali hizo baada ya Korea Kusini na Japan ambao walishirikiana 2002.
Screenshot_20221112-070503_OGInsta%2B.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom