Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,297
Africa sijui tunakwama wapi ndugu kiongoziAlisemaga pele kiwa timu ya africa itashinda kombe la dunia kabla ya mwaka 2000 lakini wapi.
Wanachoshundwa kutambua hawa watu ni kwamba tatizo la mpira africa sio ukosefu wa vipaji bali utawala mbovu katika soka.