Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
UMAFIA WA SIMBA ANGOLA BALAA
.
Mkubwa ni mkubwa tu na ndicho kilichojidhihirisha katika safari ya Simba kwenda Angola kucheza dhidi ya Primiero de Agosto. Simba iliamua kuwapima kipimo cha Uviko-19 wachezaji wake na benchi la ufundi ili kuwaepusha na usumbufu wa kulazimishwa kupima katika Uwanja wa Ndege wa Luanda kwa vile vipimo walivyofanya nyumbani, vinadumu kwa muda wa saa 72.
.
Iwapo vipimo vingefanyika katika Uwanja wa Ndege wa Luanda, Simba iangelazimika kutumia muda mrefu zaidi jambo ambalo lingewafanya wachezaji kuathirika kisaikolojia. Mara baada ya kufika uwanjani hapo, walikutana na basi kubwa la kubebea abiria ambalo waliandaliwa na wenyeji wao, lakini Simba waliamua kutolitumia na badala yake wakatumia lingine lililoandaliwa na wao wenyewe Simba huku lile la mwanzo wakipakizwa mashabiki walioambatana na Simba hapa.
.
Hotelini, Simba iliweka ulinzi mkali katika vyumba vya wachezaji na hata chakula cha wachezaji kilipikwa na wao wenyewe kupitia mpishi waliyeambatana naye.

️—450 Real Madrid
AL HILAL
YANGA SC 
21:00
Al Hilal stadium

AL AHLY 3-0 US MONASTIR
[agg 4-0]
[agg 2-2]
KATUMBI AMTIMUA KOCHA UWANJANI 