kwani kn mtu anakereka kutokea wapi? shangaziSababu yako sisi mashangazi kupiga story zetu sasa ulitaka tukae tu kama mabubu tuweke magazeti na habari mchanganyiko tutoke mkuu usitupangie humu makapuku hili jukwaa watu tofauti wanakuja kusoma habari zinazopostiwa na we ukiwa mmojawapo tuache tu mashangazi wa makapuku tuishi tulivyozoea tupo kama ndugu humu hata kama baadhi hatujuani
swahiba umeamkaje ?
Imebidi nicheke bila kutarajia....
Sasa uzi kujaa Mashangazi wakajadili Issues zao nayo ni kitu ya kumfanya mtu hadi kutuandikia comment huko surely?
Anyway kama kuna kitu kingine tumemkosea tumuombe radhi pasipo hata kujua ni nini tumemkosea..
Ila story za Mashangazi ndiyo hatuachi.. Mashangazi tunakaribia kupokea Pension zetu...sasa anataka tujadili nini zaidi ya mipango mikakati ya kutumia Pension zetu
Mwisho... ila siyo mwisho kabisa...kwa niaba ya wote hapa nimkaribishe.. hapa kuna mengi ya kujifunza... AHSANTE..
Kuna nini ?Poker habari yako mkuu wangu hivi sisi mashangazi wa makapuku nini tumekukosea tukuombe hata msamaha kuna sehemu tuliona umetusema sana vibaya kupiga kwetu story ni shida kwako je hata habari tunazopost we huzioni kweli usiwe unatuchukia bila sababu mkuu usiwe na roho hiyo ya kuchukia watu tu mkuu sio vizuri kama kuna sehemu tuliwahi kukukosea sisi mashangazi wa makapuku tunaomba utusamehe.
Usimchukie hata siku moja mtu usiyemjua watu wenyewe tunaishi jf kwa I'd fake chuki ni kirusi kibaya sana mkuu kemea hiyo roho kama we ni mristo ikuondoke.
Kwema mkuu...wewe jeVipi hali yako mzee?
Nini kimetokea Auntie?
Mashangazi tumefanyaje tena?Mweh!!!
Maana mahali niko saa hii hata kumwambia mtu "muone" siwezi
TumepigwaaaaUnafahamu kuwa Kocha Mkuu mpya wa Chelsea, Graham Potter amewahi kuwa Mkurugenzi wa ufundi wa timu ya taifa ya wanawake GhanaView attachment 2354095