Makapuku Forum

Makapuku Forum

U.F.O Unidentified flying objects inaaminika kuwa ni chombo cha viuombe wanaoishi sayari nyingine aliens
Screenshot_20220831-191916_OGInsta%2B.jpg
 
Halmashauri ya Wilaya ya Makete mkoani Njombe imepiga marufuku Watu kuchinja Nguruwe na kula nyama yake (kitimoto) kwa muda usiojulikana kutokana na taarifa za uwepo wa ugonjwa wa homa ya nguruwe.

Afisa Mifugo na Uvuvi wa Wilaya hiyo Aldo Mwapinga ametoa taarifa ya katazo hili kutokana na vifo vya nguruwe 21 Wilayani humo na amenukuliwa akisema "Kata ya Tandala kumeripotiwa dalili za ugonjwa wa homa ya Nguruwe kwahiyo tunaendelea na jitihada za kuhakikisha tunashirikiana na Watendaji kuanzia ngazi ya Kata hadi Vitongoji kutoa taarifa juu ya hali inavyoendelea"

Amesema Serikali imepiga marufuku hiyo hususani katika kata ya Tandala huku pia akizuia utoaji wa Nguruwe kutoka kwenye zizi moja kwenda jingine kwa ajili ya kupandisha kwa jike, vilevile amewataka Watu kuacha kufukua Nguruwe waliofukiwa baada ya kufa (mizoga) na kuwachinja kisha kwenda kuuza nyama hizo vilabuni nyakati za usiku, hii ni baada ya taarifa za namna hiyo kuripotiwa hivi karibuni.

waione auntie yangu Makiwendo na huyu mzee mtu chake hawa hawatakubali watasema bora wafe tu
Screenshot_20220831-193640_OGInsta%2B.jpg
 
Halmashauri ya Wilaya ya Makete mkoani Njombe imepiga marufuku Watu kuchinja Nguruwe na kula nyama yake (kitimoto) kwa muda usiojulikana kutokana na taarifa za uwepo wa ugonjwa wa homa ya nguruwe.

Afisa Mifugo na Uvuvi wa Wilaya hiyo Aldo Mwapinga ametoa taarifa ya katazo hili kutokana na vifo vya nguruwe 21 Wilayani humo na amenukuliwa akisema "Kata ya Tandala kumeripotiwa dalili za ugonjwa wa homa ya Nguruwe kwahiyo tunaendelea na jitihada za kuhakikisha tunashirikiana na Watendaji kuanzia ngazi ya Kata hadi Vitongoji kutoa taarifa juu ya hali inavyoendelea"

Amesema Serikali imepiga marufuku hiyo hususani katika kata ya Tandala huku pia akizuia utoaji wa Nguruwe kutoka kwenye zizi moja kwenda jingine kwa ajili ya kupandisha kwa jike, vilevile amewataka Watu kuacha kufukua Nguruwe waliofukiwa baada ya kufa (mizoga) na kuwachinja kisha kwenda kuuza nyama hizo vilabuni nyakati za usiku, hii ni baada ya taarifa za namna hiyo kuripotiwa hivi karibuni.

waione auntie yangu Makiwendo na huyu mzee mtu chake hawa hawatakubali watasema bora wafe tu View attachment 2341152
aah mbn ana wanyima wenzie utamu
 
Hiyo homa iishie hapo hapo njombe isifike huku mbeya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom