Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
AUBA AVAMIWA, ATISHIWA NYUMBANI KWAKE
.
Watu waliokuwa na silaha walimvamia na kumpiga straika wa Barcelona, Pierre Emerick Aubameyang baada ya kuvunja na kuingia nyumbani kwake.
.
Wezi hao wasiopungua wanne walipanda uzio wa bustani wa nyumba ya Aubameyang huko Castelldefels na kufanya uharifu huo. Aubameyang, 33, alitishiwa bunduki na nondo na alipigwa kidogo kwa mujibu wa taarifa ya polisi. Wezi hao walimtishia maisha mke wa Aubameyang, mrembo Alysha Behague, kwa silaha kali hadi kuwafungulia sefu.
.
Vito kadhaa vya thamani viliibwa nyumbani hapo na watu hao wanne waliondoka na gari aina ya Audi A3 yenye rangi nyeupe. Polisi wa Catalunya kwa sasa wapo kwenye msako wa kuwatafuta wote waliohusika kwenye tukio hilo la kiharifu.