Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,253
- 90,452
Tunaperuzi na kudadisi,na shangazi
NaaamTunaperuzi na kudadisi,na shangazi
mauaji ya wivu wa kimapenzi yamekua mengi sanaJeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limemkamata Maarifa Hadith Matala (45), Dereva wa daladala, mkazi wa Kimara Suka Golani Wilaya ya Ubungo kwa tuhuma za mauaji ya mpenzi wake, Sharifa Twaha Nyamaishwa (31), Kondakta wa Daladala aliyekuwa mkazi wa Kimara Suka Golani Wilaya ya Ubungo kwa kumshambulia sehemu mbalimbali za mwili na kumuua.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Muliro Jumanne amesema “Tukio hilo limetokea tarehe 16 Agosti 2022 huko maeneo ya Kimara Suka, na mara baada ya tukio hilo Mtuhumiwa alitoweka”
“Jeshi la Polisi baada ya kupata taarifa hiyo lilianza upelelezi na ufuatiliaji wa haraka na kufanikiwa kumkamata Mtuhumiwa Mkoani Lindi alipokuwa amejificha”
“Uchunguzi wa awali umebaini kuwa wapenzi hao walikuwa na migogoro inayosababishwa na wivu wa kimapenzi na kupelekea kugombana mara kwa mara, na mwili wa marehemu ulikutwa na majeraha, uchunguzi wa shauri hili unakamilishwa na Mtuhumiwa atafikishwa Mahakamani haraka iwezekanavyo baada ya tuhuma hizo za kikatili uliovuka kiwango”View attachment 2327004
safi tuko pamojaNaaam
Ukishaona mapenzi yanaanza migogoro ni bora muachane mwisho wa siku ndio yanafikia kwenye mauajimauaji ya wivu wa kimapenzi yamekua mengi sana
hahahahaha,ni kweli kbs,shangaziUkishaona mapenzi yanaanza migogoro ni bora muachane mwisho wa siku ndio yanafikia kwenye mauaji
Asante we mzee kwa kushukuruAhsante kwa taarifa za magazeti,shangazi
tuko pamoja shangaziAsante we mzee kwa kushukuru