Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]But why[emoji24][emoji24][emoji24][emoji1745][emoji1745][emoji1745]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]But why[emoji24][emoji24][emoji24][emoji1745][emoji1745][emoji1745]
week end iko vzrMambo safi kabisa. Habari za w.end?
poa limeisha hili.,sema lingine shangaziSina bundle we mzee
Asante we mzee ubarikiwepoa limeisha hili.,sema lingine shangazi
Ex babeeeeeAsante we mzee ubarikiwe
Nimekutumia vn naomba usikilize ex babeEx babeeeee
[emoji4][emoji4][emoji4]Nimekutumia vn naomba usikilize ex babe
amenAsante we mzee ubarikiwe
Tuko poa kabisaPukuzzzzzzzzzzzz mko poa?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mwanaume mmoja huko nchini Zambia amejikuta anapoteza fahamu baada ya kugundua kuwa mke wake ndiye mwenye nyumba aliyokuwa analipia kodi kwa miaka 15
________________
Mwanaume huyo aliyefahamika kwa jina la Martin Stampa amepata na maswahibu hayo baada ya kumtambia mke wake kuwa anatafuta mwanamke mwengine mwenye akili na atakaye mpa mawazo ya kimaendeleo zaidi (kuliko mke wake)
________________
Baada ya kauli hiyo mke wake akamwambia kuwa yeye ndiye hana akili maana amekaa kwenye nyumba hiyo kwa miaka 15 akilipa kodi zaidi ya Laki 5 kwa mwezi bila kugundua kuwa alikua anamlipa mke wake (mmiliki wa nyumba)
_______________
Unaambiwa kwa miaka yote hiyo mzee baba Stampa alikua akimkabidhi mke wake pesa ili alipe kodi kwa mwenye nyumba kumbe nyumba ni ya mke wake
______________
Taarifa hiyo ilimshtua sana Stampa jambo ambalo lilipelekea apoteze fahamu[emoji23]
Mambo anayoyapenda kuyasikia auntie yangu mimi Espy Atoto [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2317766
hahahahaha🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huyo kweli stampa, cha kumzimisha nini sasa?
Asante we mzee na kwako piaNiwatakie nane nane njema ndugu zangu
[emoji1787][emoji1787] Auntie achana na kulipa kodi miezi 15 kumbe mwenye nyumba mkeo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo kweli stampa, cha kumzimisha nini sasa?