Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,031
- 34,667
Si ungenistahi hata kidogo Auntie jamani....niliona tu nadanganywa danganywa


Si ungenistahi hata kidogo Auntie jamani....niliona tu nadanganywa danganywa


Ni app tu kama jf siwezi elezea sana naweza pewa ban kabla jf hawajazuia notifications ilikuwa inaturahisishia sana kupata ila toka jana naona haifunguki sijui jf wameshaipa banHivi Auntie hii huwa Inafanyaje kazi?..
Ni kitu sikielewi kabisa...Naona watu hapa JF wanaizungumzia tu...
Basi yeisheSi ungenistahi hata kidogo Auntie jamani....![]()
Ooooh...Ni app tu kama jf siwezi elezea sana naweza pewa ban kabla jf hawajazuia notifications ilikuwa inaturahisishia sana kupata ila toka jana naona haifunguki sijui jf wameshaipa ban
Huh!! We si umefichwa bwana🙆Sijambo nilikumiss
Huh!! We si umefichwa bwana![]()


Eti amekumiss uku yupo na penzi jipya yaani anakumiss vipi
Ni app unaifollow jf yaani ni nzuri ndio hivyo wakazuia notifications na huko hatupati na jana naona ukifungua huwezi ingia jf auntieOoooh...
Ahsante kunielewesha kwa sehemu Auntie....
Mimi siijui hiyo kitu jamani...
Ooooooooh....sawa Auntie....Ni app unaifollow jf yaani ni nzuri ndio hivyo wakazuia notifications na huko hatupati na jana naona ukifungua huwezi ingia jf auntie
Asante auntie tumeshapoaOoooooooh....sawa Auntie....
Poleni kwa watumiaji aisee..
Najaribu kumuelewa ila havieleweki🙆Eti amekumiss uku yupo na penzi jipya yaani anakumiss vipi
Kiukweli sijui nipo na stress zangu hawa simba watajua wenyewe nasubiri tu wazitoe nikutafute unipeleke vunja bei
Unayetumia tapatalk ebu niambie kwako inafunguka au wameshapewa ban
Eti amekumiss uku yupo na penzi jipya yaani anakumiss vipi





Najaribu kumuelewa ila havieleweki![]()
Sina hela ya vikoba jumapili.Stress zipi tena ..hivi kesho kutwa nipite utakuwepo?



Kesho kutwa offStress zipi tena ..hivi kesho kutwa nipite utakuwepo?