Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,493
- 176,574
Uko kama parachichi.Umefanyaje mkwe?
Uko kama parachichi.Umefanyaje mkwe?
Yule nimpendae kwa dhatiNi yupi huyooo?
Ushindwe na ulegee.Mkwe Espy Atoto ndio mtaalam wa kutengeneza hilo dikodiko
Uko kama parachichi.
Ushindwe na ulegee.
Karibu parachichi, tamu hilo.Hahaha jinga wewe, umenifanya nicheke
Si nasikia ashakuacha!Mkwe huwa nalegea kwa binti yako tu
...presha ya machoPresha ya nini?

Hakuwahi kunitengenezea mkuu!Mkwe Espy Atoto ndio mtaalam wa kutengeneza hilo dikodiko
Mi presha sijawahi kumiliki mi kitu kikishindikana tu naachana nacho nafanya mambo mengneTumefika tamati, ngoja huyu jamaa nae apate presha kidogo.
Duuuh kweli moyo kichakaYule nimpendae kwa dhati
Mweeeeh! Imbombo jilipo.Mi presha sijawahi kumiliki mi kitu kikishindikana tu naachana nacho nafanya mambo mengne
Nkangi nkafu fijoo po twikasyege itoloMweeeeh! Imbombo jilipo.
Ndio nimeelewaUmeelewa wewe...?
