Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,192
- 35,359
Sawa kichwa changu kama stafeli sikatai[emoji2]Kwahiyo unanivizia sipo ndio unakwenda eeh? Kichwa kama stafeli[emoji57]
Sikuvizia haupo jamani....Majukumu yalinileta... nilitamani ungewepo nicheke mie[emoji2].
Ila bado tuna jambo letu... Usiniangushe...