Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,192
- 35,360
Hicho wanachoongelea hakipo Dar Auntie...Kama kipo dar nitakuja na mimi auntie makiii ufanye unipeleke
Tungeenda mbona...
Hicho wanachoongelea hakipo Dar Auntie...Kama kipo dar nitakuja na mimi auntie makiii ufanye unipeleke
Nimesisimkwa ghafla Auntie[emoji2]Auntie usitufanyie hivyo sio kwa kuku jamaniii tena zitakuwa za kuchoma eenh uwe na ndizi pembeni na chupa za kijani daah
Ahsante Auntie...Nakupenda.Lazima nije na auntie makiii
Si ndio.Hahaha ya kiyunani
Dah hivi kumbe tushajichafua wenyewe
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Tuliza komwe hilo[emoji2]Yaani nakukaribisha na wewe unakaribisha[emoji134][emoji134][emoji134]
Nimeghairi.
Ukinipa hela unanikuta[emoji1787][emoji6][emoji6][emoji6][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Aah huko mbali..
This time nikienda kumtembelea Bi mkubwa nikute usharudi, hapo nakuwa nimeua ndege wawili kwa jiwe moja, sasa ole wako nisikukute [emoji16][emoji16]
Ndio wamekuachia eeh?Jambo mrembo
Achana na mimi.Thubutu....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eti I aint you're Mama... Nyau[emoji2]
Bora mie mtulivu kote kote.Kweli Wewe ni mpole sana...
Ila kwenye keyboard.. hapana Dogo..[emoji2]
Kwahiyo unanivizia sipo ndio unakwenda eeh? Kichwa kama stafeli[emoji57]Mimi hujanimiss?
Imagine majuzi tu nilikuwa huko...Nikasema huyu Binti angekuwepo huku basi jamani...
Pampula.Nimesisimkwa ghafla Auntie[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyehunge hebu niwache.
Kwani hili komwe langu lilikukosea nini lakini[emoji1787]Tuliza komwe hilo[emoji2]
He he he...Bora mie mtulivu kote kote.
Ona sasa [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]He he he...
Wewe huyo? Bora ningeongea mimi..
Auntie usighairi sisi ndugu zako ujueYaani nakukaribisha na wewe unakaribisha[emoji134][emoji134][emoji134]
Nimeghairi.
Yaani kiukweli nimetamani nyama ipo siku zitaniua mimi sio kwa uroho huuKama ulikuwepo, yaani kuku wa kienyeji kachomwa akachomeka. Na kachupa pembeni acha auntie yangu[emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa I'd nyingine auntie tusioijua si etiMbona nimepumzika sasa ni miaka mitano auntie.
Sasa tutamwachaje peke yake sio vizuriWoooi! Ole wako.