Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,031
- 34,666
Ndugu gani mdogo wako hata hunipi hela![]()






Hela yenyewe ndiyo nadaiwa hivi?
Wallah sitoi...Niue

Na unavyoipenda hela... ila ndiyo hivyo haikupi ushirikiano..

Ndugu gani mdogo wako hata hunipi hela![]()








Utajua hujui.
Hasara yake si unaijua?
Ulonzi hauendi kwa Mentali![]()
Yanahusu hela?
Kama unakumbuka madeni basi kumbuka na vingine...
Nimecheka mno... Dah!!!
Sikutegemea..
Ngoja nikutafutie lingine...




Si ndugu mnanifilisi
Hela yenyewe ndiyo nadaiwa hivi?
Wallah sitoi...Niue
Na unavyoipenda hela... ila ndiyo hivyo haikupi ushirikiano..![]()


Haha hamna nimepumzika tu kidogoSiku hizi amekuwa mkimya jamani...
Duuh umejuaje aseeAnaumwa mwenzio![]()
Mtoto mdogo hivyo usingizi unagomaje?Haha nipo mama nilikuwa napita tu maana usingizi umegoma nikaona niingie tu jf
MweeMtoto mdogo hivyo usingizi unagomaje?
Aahh naona unataka kutusingizia tena
Sasa mnyakyusa na ukimya wapi na wapi![]()
Nipe jina lingine la bus lilokaa kama tusi auntie, atanitambua huyu.



ila auntie akili zako
Aaah mie nitoeni kwenye huo ujambazi wenu mtoto wa watu.



we ndio kiongozi wetu bwana
Lina maana gani kwanza? Isijekuwa lina maana ya kimbinyiko buree![]()



Ni mwenzangu auntie ila niache kwanzaKwahiyo mimi sio mwenzio?
Yaani hii app ni kama auntie yako maki, ana kiburiii na visa ila ndio ndugu yetu tutafanyaje![]()


na kuiacha hatuwezi