Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,837
- 183,043
Hivi hii kimandolu ina maana gani?Sijamtaja Mtu....
Kimandolu wewe [emoji23]
Hivi hii kimandolu ina maana gani?Sijamtaja Mtu....
Kimandolu wewe [emoji23]
Kwahiyo mimi sio mwenzio?Auntie niacheee nikiwa kwenye mawindo yangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kizuri kula na mwenzio
Yaani hii app ni kama auntie yako maki, ana kiburiii na visa ila ndio ndugu yetu tutafanyaje[emoji134][emoji134]Hivi kutopata notification kwenye app ni mimi au na nyie week ya pili hii sipati
Ni Majanga...Hahahahah ngoja tuone auntie
Sawa Auntie..Hahahahah ngoja tuone auntie
Eti atanitambua huyu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nipe jina lingine la bus lilokaa kama tusi auntie, atanitambua huyu.
Ha ha ha...Mmmh!! Mbona leo umeitikia vizuri hivi[emoji134][emoji134][emoji134]
Sidanganyikiii, nipe hela yangu.
Nilishaga kwambia bhana..Lina maana gani kwanza? Isijekuwa lina maana ya kimbinyiko biree[emoji1787]
Kimandolu Arusha huko...Hivi hii kimandolu ina maana gani?
Ha ha ha ha....Yaani hii app ni kama auntie yako maki, ana kiburiii na visa ila ndio ndugu yetu tutafanyaje[emoji134][emoji134]
Aaah hayo hayajafikia hata robo ya kimbinyiko bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eti atanitambua huyu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna Kisbo au Najmunisa[emoji2]
Ni ulozi tu ndio dawa yako wewe, ngoja nitafute mganga.Ha ha ha...
Sasa ningeitikia aje jamani?
Hela yako sina...Niko hapa njoo unipige[emoji23]
Aaah hata mimi nina majukumu bwana, we nikumbushe tu. Vitu nakumbuka ni madeni tu[emoji1787][emoji1787]Nilishaga kwambia bhana..
Nipunguzie majukumu basi[emoji2]
Ndugu gani mdogo wako hata hunipi hela[emoji57][emoji57][emoji57]Ha ha ha ha....
Mbona Kiburi na Visa...
Vingine si unistahi tu jamani...ndugu yako mimi ujue....usichome sana[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaah hayo hayajafikia hata robo ya kimbinyiko bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni ulozi tu ndio dawa yako wewe, ngoja nitafute mganga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaah hata mimi nina majukumu bwana, we nikumbushe tu. Vitu nakumbuka ni madeni tu[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyehunge mkubwa wewe.