Huyo simtumii Auntie...labda Hadde..ngoja nimwambie auntie maki akuforwadie
Hata hili linakaa poa sana...usibadili tenaHahaha tatizo karma imeshachukuliwa sasa
Hukawii kuja kubambikwa kesi isiyokuhusu jamani
Naaaaam!!!Shem squaree
Heshima yako mkuu wangu ! Nilikuona pale upo na wazito wenzako nikapunga mkono sijui uliona
Nasemaje..Platinum bora wanipe mimiacheni hizo dada zangu wazuri, kunifanyia fitina tena hiyo wewe tu unaimaliza
😄😄😄 haya dada yangu Boss acha nikuache maana hapo najua kulala alfajiri maana sijui nyie mataniri mna nini na usingizi
Wewe Kijana...acha hizi mambo basi HM....
Ujue nacheka sana...
haya dada yangu Boss acha nikuache maana hapo najua kulala alfajiri maana sijui nyie mataniri mna nini na usingizi
nalalaje ndio nimeingia shift ya usiku kwa kanjibai hapa 😬😬
Hebu lala basi....
Atakuwa obsessed nasi, na atakuwa tu mtu mmoja.
Lake mwenyewe nadhani anatumia ME yule...anajiita espy
Nashukuru langu hawajaliiba...Atakuwa obsessed nasi, na atakuwa tu mtu mmoja.
Atakuwa obsessed nasi, na atakuwa tu mtu mmoja.
Huyo simtumii Auntie...labda Hadde..
Nilivyoanza kusoma nimepata na mshituko ghafla Auntie....
Nikasema lile jambo letu limeanza taratibu nini?
Nakuelewa vizuri auntie
Sikujazi Auntie.
Auntie si umeona namna kanisema...ye ana nini auntie basi piga video kolu tuongee wote