Makapuku Forum

allez,stars
 
Huh!! Korona tena!
 
Akifungulia kwa watumishi basi na kwa wengine pia kafungua. Hivyo waongezepo kale kaasilimia tena na kakodi kapungue[emoji6][emoji6][emoji6]
 
Huu ukanda jamani[emoji134][emoji134]
 
Auntie hii umechelewa kuileta.
 
Yaani nilivyotupa simu, nikajua Leo napelekwa Indira Gandhi St, kwa maneno [emoji23][emoji23][emoji23]

Miss you sana mama Muinjili
[emoji23][emoji23][emoji23]Hapana aiseee mama mchungaji ukiona naongea sana ujue nimechokozwa na nina vidhibiti ila me ni binti mpole sana

Kingine una hekima sana na busara nakupenda bure nilikuona sehemu unampa mtu ushauri aisee nikasema mama mchungaji kamaliza mwenye kusikia na asikie
 
[emoji599]INJINIA KUCHUKUA FOMU YA URAIS LEO
.
Dk Mshindo Msolla amewaambia watu wake wa karibu lazima awanie tena kuendeleza mafanikio yake ya msimu huu. Hata hivyo, Msolla atakuwa na vita nzito kutokana na majina ya vigogo ambayo nayo yanakitaka kiti hicho.
.
Injinia Hersi Said ni Mkurugenzi wa Uwekezaji wa GSM, baada ya kuiwezesha Yanga kupitia nafasi yake ndani ya GSM na kamati ya mashindano sasa anataka kiti cha urais wa klabu hiyo na wakati wowote kuanzia LEO atatua Makao Makuu kuchukua fomu.
 
Siku nikikuchokoza, unifuate tu PM kimyakimya mama MuinjiliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Kwa kweli huna baya na mtu mtoto mtoto mlito. πŸ™πŸ™πŸ™
 
Siku nikikuchokoza, unifuate tu PM kimyakimya mama Muinjili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Kwa kweli huna baya na mtu mtoto mtoto mlito. [emoji120][emoji120][emoji120]
Hahahah kunichokoza huwezi mama mchungaji na haitatokea ila me ndio unifate pm ukiona nimekosea kitu uniseme tu unavyoweza unishauri unavyoweza. [emoji120][emoji120][emoji3059][emoji3059]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…