Na ndoto zako pia nusu nusu[emoji134][emoji134][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mnishukuru jamani hata hivi ninavyowaletea nusunusu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanawake hoyeee!
Kwahiyo hatuna furaha[emoji134][emoji134][emoji134]
YEEEEESMbunge wa Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo ameiomba Serikali kutazama upya sheria inayoruhusu watu kufanya shughuli zao saa 24 huku akisema sheria hizo zimepitwa na wakati hivyo zinapaswa kutazama upya.
Prof. Mkumbo ametoa ombi hilo wakati akichangia mjadala wa makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023.
"Majiji yote duniani hufanya kazi saa 24, hii habari ya kwamba watu asubuhi wasifungue biashara, wasifungue baa na wasifurahi mpaka saa sita mchana ni sheria ya kizamani"
"Hii sheria inazuia furaha ya nchi, Waziri uiangalie, tuibadilishe ili watu wawe na uhuru wa kufurahi wakati wowote maadam wanazingatia sheria za nchi" View attachment 2252747
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nahisi meli imepoteza muelekeo dada yangu, itakuwa hukooo black sea. Kuna mkono wa mtu sio bure nakwambia.
Dogo KarmaNdio nani huyo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti jamani!! hebu wewe ongea nae mie siwezi kwakweli kuota tuvitu tudogo tudogo nikajinyima baraka[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nguvu ya konywe![emoji57]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ebu niacheniiiiii