Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,031
- 34,666
#nguvumoja#Tunaongoza na tunataka kuongeza zaidi idadi ya kura mbele ya mtani.
Piga kura sasa. #NguvuMojaView attachment 2252174View attachment 2252175
#nguvumoja#Tunaongoza na tunataka kuongeza zaidi idadi ya kura mbele ya mtani.
Piga kura sasa. #NguvuMojaView attachment 2252174View attachment 2252175
Auntie si ugombee ubunge jamani, hebu acha kuota ndoto ndogo ndogo.






Vyote nataka auntieSasa auntie inabidi uchague moja, tunanunua gari au magram?
Nikamchoshe nani?
Hebu nimuone mama yake akilia.




kamgugo mwenyewe bwana
Tumefikia wapi?
Hili jambo kila nikikumbuka nacheka sana... hapa penyewe nacheka vibaya![]()





Eti jamani!! hebu wewe ongea nae mie siwezi kwakweli kuota tuvitu tudogo tudogo nikajinyima barakaKauli mbiu mdomo uumba...
Vits ndiyo umejitamkia Auntie?![]()



Nguvu ya konywe!#nguvumoja#

Sasa hayo ndio mambo, sio unataka tuvitu tudogo tudogo.Vyote nataka auntie
Salama Snipes.habari jamani![]()
Auntie si ugombee ubunge jamani, hebu acha kuota ndoto ndogo ndogo.



ubunge wa makapuku auAaah we nawe bwana bado unaota tu tuvitu twa ajabu ajabuubunge wa makapuku au



Ameen auntieKabisa Auntie.. Hata Biblia imeandika " Aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo allivyo."
Tujitamkie mambo makubwa makubwa Auntie..
Auntie haya mambo yanaongeleka mbona...
Tutayazungumza kwa marefuila Jeep sina aisee..






Kauli mbiu mdomo uumba...
Vits ndiyo umejitamkia Auntie?![]()





basis najitamkia harrie lexus