Sasa auntie inabidi uchague moja, tunanunua gari au magram?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bwana weeeh yote heriiiii ila kudandia bomba nimechoka mie
Nikamchoshe nani?Auntie bwana ebu usinichoshe basi
Wataleta mmomonyoko wa udongo.Ujumbe wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) zaidi ya 1,000 wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo Taifa Kenani Kihongosi umewasili katika Hifadhi ya Ngorongoro kwa lengo la kufanya utalii wa kutembelea vivutio mbalimbali vilivyopo ndani Hifadhi hiyo.
Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Kenan Kihongosi ameeleza lengo la ziara hiyo ni kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwenye fimalu ya The Royal Tour ambayo imeonyesha vivutio mbalimbali vilivyopo ndani ya Nchi yetu.
“Vijana hawa zaidi ya 1,000 wamekodisha magari ya utalii 140 na wameamua kujigharamia kuja hapa Ngorongoro kuona vivutio tulivyonavyo ili kusaidia kutoa hamasa na chachu kwa watanzania wengine wajue kuwa Utalii unaanza na sisi wenyewe ili tuwe mabalozi wa kuhamasisha wageni wengine wa nje ya Nchi kukutembelea”
Amesema uwepo wao katika maeneo ya Wilaya za Karatu na Ngorongoro umesaidia kuongeza mzunguko kwa wajasiriamali hasa Hoteli, Magari ya utalii, biashara za vyakula kwa mama lishe hivyo kusaidia uimarishaji uchumi wa wananchi katika kusukuma agenda ya maendeleo na kuwaambia watu kuwa utalii ni fursa na utalii ni ajira. View attachment 2252262
Auntie si ugombee ubunge jamani, hebu acha kuota ndoto ndogo ndogo.Mbunge wa Viti Maalumu, Khadija Taya maarufu Keisha akizungumza bungeni alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa mwaka wa fedha 2022/2023, jijini Dodoma leo.
Khadija amelieleza Bunge kuwa wasanii na muziki si kwamba hawapo waliokwenda shule ambapo amewataja baadhi yao wenye stashahada, shahada na shahada ya uzamili. Picha na Edwin MjwahuziView attachment 2252274
Kwamba unaniona Mikocheni Mara ya tatu hii?[emoji23][emoji23][emoji23]Dah!!! Huyo unayemuona usinifananishe naye kabisa...Nakuona hapa mataa mbele yangu , kitu kama piruuuu.. tisha sanaaa una issue gani huku mikocheni mala ya tatu nakuona hapa unakata kushoto.. au umehamisha ofisi [emoji51][emoji51][emoji51]
Team mbaya mbaya hivi haikufungwa ila iliyotoa draw Jioni utakuwa maeneo yako nini nije na markup pen nipige kachataa kiduchu tu pembeni ya tyre
Kabisa Mdogo wangu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuote tu dada yangu, hatuwezi teseka kwenye uhalisia na kwenye ndoto kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maisha ni kuchagua auntie, wewe si unaota magramu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niwacheeeeeee!
Yaaaani... Mwenyewe nina muda simuoni..Hivi lizarazu alipoteleaga wapi?
Na vefongo vetafongoka isiku wa leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]FongokaaaaaMbengooooooo zefongokheeee!
Kabisa Auntie.. Hata Biblia imeandika " Aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo allivyo."Auntie maneno mazuri huumba ujue
Auntie haya mambo yanaongeleka mbona...[emoji23][emoji23][emoji23] unafikiri naweza kukuelewa kirahisi rahisi auntie ebu niache bwanaa
Mbona Vits[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa auntie ebu tufanye mi na wewe tutafute hata vitz za mkopo jamani mambo za kushikilia bomba me nimechoka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa sauti kubwa auntie yaani una ufala mob
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukijumlisha na kikuu, mweeeh wafwaaaaa!
Kauli mbiu mdomo uumba...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] auntie hapana yaani niote rangeeeeeeeee hata vitz sina usinifanyie hivi bwana