[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila Auntie wewe hapana... una mbinu za kijasusi...
Mambo ya kindege[emoji2]Weuh!!!! Umenikumbusha enzi za Ujana Mambo yalivyokuwa mengi....
Siku hizi na huu Uzeeee[emoji2]Woiiii...Sina muda...Nina Rafiki yangu anasemaga ya nini kujitesa, simu yangu bado nipate nayo shida, mara silent, Simu inakaa imefunikwa muda wote... hapana....
Mimi ikipigwa napokea tu Auntie... Ila mazungumzo yatakuwa kwa utaratibu maalumu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yale ya eeeeh!!!, aaaaah!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]