Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,182
- 35,323
Salama Shem wangu...Mzimaaa shem
Habari za Weekend?
Salama Shem wangu...Mzimaaa shem
Tuko poa auntie wewe jeeHabari za hapa Wapendwa wangu?
Mko aje hapa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimelenga mulemule me na auntie yangu espy acha tubaki na wereva zetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Auntie sikuwezi
Nami niko poa sana Aunty akeee...Tuko poa auntie wewe jee
Kho kho kho!!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimelenga mulemule me na auntie yangu espy acha tubaki na wereva zetu
Weekend ipo vibaya kwangu naenda kuwajibika auntieNami niko poa sana Aunty akeee...
Weekend Inaenda aje?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni mimi auntie hivi kwamba hauniamini kabisaKho kho kho!!!!
Auntie ni wewe umeandika hiyo sentensi ya pili?[emoji2]
Ni sawa[emoji2][emoji2][emoji2]
Pole Auntie. Unaingia baadaye au upo tayari?Weekend ipo vibaya kwangu naenda kuwajibika auntie
Nasemaje Auntie...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni mimi auntie hivi kwamba hauniamini kabisa
Naingia saa kumi auntiePole Auntie. Unaingia baadaye au upo tayari?
Mwenyewe hapa nasubiria 30 mnts nichek Out....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] auntie naomba uniamini tu ujue sitaniiii kabisa yaani nimeongea ukweli wanguNasemaje Auntie...
Kwenye hilo siwezi kukuamini....Niueni[emoji23]
Sawa Auntie...Pole..Naingia saa kumi auntie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] auntie naomba uniamini tu ujue sitaniiii kabisa yaani nimeongea ukweli wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] levels ya kuandika tu auntie si unajau nyuma ya keyboard jf wote matajiri kumbe chini ya ground mambo ni tofauti ebu auntie niache bwana we niamini tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nicheke kwanza..Aloooooo...
Auntie ujue mbinguni siyo mbali kihivyo...ila kwa huu uongo wako Wallah sitegemei kukukuta huko[emoji23][emoji23][emoji23]( japo na mimi sina Uhakika)
Ulivyo Levels wewe....Wacha ninyamaze kwanza....
Tanteee auntie [emoji8][emoji8][emoji8]Sawa Auntie...Pole..
Kwenye hilo siwezi kukuamini Auntie...Unajua namaanisha nini..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] levels ya kuandika tu auntie si unajau nyuma ya keyboard jf wote matajiri kumbe chini ya ground mambo ni tofauti ebu auntie niache bwana we niamini tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huo umbea auntie lazima uniambie tu hakuna namna kama motoni tunaenda woteKwenye hilo siwezi kukuamini Auntie...Unajua namaanisha nini..
Ila Auntie jamani...[emoji2][emoji2][emoji2]Humu JF kila mtu ana kila kitu...Pathetic.
Aliniambiaga Rafiki yangu mmoja wa humu...yeye siyo mtu wa kuchangia sana...Hope akipita hapa ataona...Akaniambia Makii....Shukuru kwa maisha yako haya uliyonayo..JF watu wanafake life hadi siyo poa..
Imagine akaniambia story moja ya mtu humu nilishangaa hadi leo bado nashangaa..( Naomba usiniulize ni nani Auntie...Huu Umbea siyo mzuri hata[emoji23])
Huo Umbea huo Auntie..Ngoja nione namna mwezi utakavyoenda[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huo umbea auntie lazima uniambie tu hakuna namna kama motoni tunaenda wote
Nakwambia auntie achana na maisha ya jf watu wanafake aiseee na ndio maana wengi wanakwepa kukutana na watu au kujuana ujue wanaona aibu sijui ni vipi yani
Ila auntie we mimi niamini tu. [emoji1787][emoji1787] na vile siwezagi fake woiiii acha nipambane na wereva yangu
Njema Shem za weekend naweSalama Shem wangu...
Habari za Weekend?
Mimi niko poa sana Shem...Njema Shem za weekend nawe
Karibu Malawi Shem