Makapuku Forum

Makapuku Forum

Screenshot_20220506-062244_Opera%20Mini.jpg
Screenshot_20220506-062301_Opera%20Mini.jpg
 
Maskini wengi wanapatikana katika familia zilizo kosa upendo

Ukipata hela watasema unaringa

Ukifirisika watasema amekosea mashart

Ukiendelea kufanikiwa utasikia ameua ndugu wengi ili Mali zake ziendelee

Umaskini hupatikana kwa kuamini mafanikio ni uchawi

Umaskini unaishi kwa kuwa uzembe wetu ni kutafuta vikubwa bila kujua vinapatikanaje

Uepuke umaskini kwa kujifunza kwa watu walio fanikiwa

Jipe muda wa utekelezaji wa malengo yako kwa taratibu bila kuathiri mipango ya wengine

Inawezekana Leo mwenye sh.100 akawa tajiri kwa kuiheshimu mia yake

Kuliko mwenye mkopo wa million nyingi zitakazo mpa presha na magonjwa ya moyo

Siku njema wapendwa
 
Asante kaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom