Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Inatajwa kuwa bora kwa kuwa ligi zetu zina mizengwe mingi mnoInakuwaje sio bora ili hali vilabu vyake vinafanya vyema kwenye mashindano ya Caf,ukitaja ligi bora barani afrika na zenye ushindani wa hali ya juu hii ligi ya South ipo kwenye 10
Ni kweli kabsa mkuu, ila ukweli utabaki wazi kuwa ligi ya South Africa ni bora...kushindanisha na hapa kwetu...Inatajwa kuwa bora kwa kuwa ligi zetu zina mizengwe mingi mno
Chukulia hapa bongo bila yanga na simba ligi itakuwaje
Ligi zetu nyingi ni za michongo anapo tokea tajiri kuwekeza ndio tunaona zinachukua ubingwa
Wanakusingizia tu rafiki, huyu ndugu yangu huwa ana haribu mwenyewe
Umeona kama hapo tayali ameanza kuharbu taratibu
Amen..Amen RafikiAsante sana Maki, nashukuru aisee,tuombe uzima rafiki yangu
Baba wawili umesharudiAu nasema uongo rafiki? Tutakaoteseka ni sisi ndugu zake
Nafurahi kusikia hivi baba wawiliSawa Shunie, sitakuwa napotea kiasi hiki tena
Naogopa kucomment Rafiki...
Niliambiwa eti wewe ndiyo unanifundisha maneno maneno
Kwahiyo mimi kivuruge😭😭😭😭😭
Umenimiss eeh!!Nipo Auntie..Ni yale mambo kwa ground yapo tight sana
Ndugu yetu Espy Atoto anatunza ndoa huko
Unaendeleaje wewe Auntie?
Sijakumiss hataUmenimiss eeh!!
...ni kweli binamu ila jua lilipozamia ndipo litakapoibukia, dunia inajizungusha kwenye muhimili wake. Hali nimekubaliana nayo ila mazingira yananiambia nikomae tu, nisubiri kipindi cha pili naweza kusaidiwa na upepobinamu hautaki kukubaliana na hali, jua limeshazama binamu
...mama, wengine hatuna tatizo kabisa na ulichofanya, sema nini ujue, tuambie umelipwa shilingi ngapi kuekiti hii movie, na je part wo itakuwepo au ndiyo imetoka vile.Rais Samia wakati wa uzinduzi wa filamu ya Royal Tour Arusha leo amesema wakati wa uandaaji wa filamu hiyo wapo Watu mitandaoni walisema amejigeuza Rambo au Arnold Schwarzenegger badala ya kufanya kazi lakini amesema faida ya filamu hiyo ni kubwa.
"Wakati nafanya hili jambo kuna Wadogo zangu, Wanangu kwenye mitandao wakawa wanasema 'Huyu Mama badala ya kufanya kazi amejigeuza Rambo au Schwarzenegger anafanya mafilamu huko anaigiza' lakini nikasema ngoja tuone kitakachotoka"
"Tumeanza kuizindua Marekani, tulipoanza New York ile siku salamu za Watu laki tatu na zaidi wakawa wanapongeza , Los Angeles nako tukapata mrejesho mzuri sana, kufanya jambo kama hili kunahitaji kujitoa, nimetumia siku nane nje ya Ofisi na siku nane kukaa nje ya Ofisi ya Rais ni muda mrefu sana"
"Niwahikikishie hasara ambayo nimeisababisha kwa kutokaa kwenye Ofisi kwa siku nane na kutohudumia Wananchi kwa kipindi kile italipa mara elfu mbili mara hadi mara elfu tatu kutokana na filamu hii, tumefanya vikao na Watu mbalimbali marekani baada ya kuuona filamu wanasema wanataka kuja Tanzania"
auntie maki njooo umsome mama yako kumbe anafatilia mitandao nimecheka sanaView attachment 2203957