Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji120][emoji120]Asante babe shuu kwa magazeti
InawezekanaHawapo kaka
Lee wekeza maana utajiri ni muunganiko wa pesa ndogo ndogoBodi ya Twitter imekubali kumuuzia Kampumi hiyo Tajiri zaidi duniani, Bilionea Elon Musk kwa USD Bilionea 44 baada ya awali Kampuni hiyo kupinga dau lake, Elon Musk amepania kufanya mabadiliko kadhaa kwenye mtandao huo ikiwemo kulegeza masharti ya maudhui.
Musk ni Mtu tajiri zaidi duniani kwa mujibu wa jarida la Forbes huku akikadiriwa kuwa na utajiri wa tamani ya USD Bilioni 273.6, fedha nyingi amezipata kutokana na hisa zake katika Kampuni ya kutengeneza magari ya umeme Tesla ambayo anaiendesha.
Musk pia anaongoza kampuni ya safari za anga za mbali SpaceX.View attachment 2201917
Shukrani mkuuBaby Shunie nimekumiss hatari
Mkimbie Lee uje faster. Kuna viboksi viwili hapa vya chupa za kijani vinakusubiri [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Hii hali ya hewa kachupa ka kijani kanashuka vizuri sanaaaaa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Msukuma mbona unanitamanisha hivyo jamaniMkimbie Lee uje faster. Kuna viboksi viwili hapa vya chupa za kijani vinakusubiri [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]View attachment 2202566
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mkimbie Lee uje faster. Kuna viboksi viwili hapa vya chupa za kijani vinakusubiri [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]View attachment 2202566
Kama nakuona ulipoMsukuma mbona unanitamanisha hivyo jamani
Kwema bosi? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaha najua mkuu ...hii ishakuwa familia utani ninsehem ya maisha yetu jukwaanKwema bosi? [emoji16][emoji16][emoji16]
Nilikuwa namtania tu Shunie. Tumetoka mbali jamani na Makapuku yetu hii ...
Nipo Auntie..Ni yale mambo kwa ground yapo tight sana[emoji23]Auntie makiiii umetekwa na naniiii na auntie yangu kivuruge Espy Atoto nani kakuteka. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naomba umrejeshee ankooNipo Auntie..Ni yale mambo kwa ground yapo tight sana[emoji23]
Ndugu yetu Espy Atoto anatunza ndoa huko[emoji2]
Unaendeleaje wewe Auntie?
Shem lake Mimi....Hahahaha najua mkuu ...hii ishakuwa familia utani ninsehem ya maisha yetu jukwaan
Shem darling nimekumiss haswaaaa....na simu ndo hupokeiiShem lake Mimi....
Miss you!!!!
Nachoka vibaya Shem...Shem darling nimekumiss haswaaaa....na simu ndo hupokeii