Naendelea vizuri jamani mfungo ndio ulikukamata mpaka usiingie jf usipotee hivi basi baba wawiliThanks Shunie, niliwamiss pia.. Nipo naendelea na mfungo
Kwema lakini? Unaendeleaje wewe?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka auntie ombea bundle lisikate maana mambo kwa ground in tofauti sanaMambo ya Usindusi utafanyeka hapa Auntie[emoji2]( kwa sauti ya Zumaridi)[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hilo balaa mbona zito sana!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka auntie ombea bundle lisikate maana mambo kwa ground in tofauti sana
Yaani nikiona habari ya mama yako na royal tour yake huwezi amini auntie sura inanijia yako yaani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sijui jana yaani huyu mama karudi na habari za mahela yanakuja unajiuliza hayo mahela wazungu wanatoa burebure kumbe mikopo ya miaka mingi watu tumeuzwa hatujijui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila Auntie....Hii comment nimecheka jamani..
Mama yuko na mambo Mob... sijui hata karudi lini Wallah!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sijui jana yaani huyu mama karudi na habari za mahela yanakuja unajiuliza hayo mahela wazungu wanatoa burebure kumbe mikopo ya miaka mingi watu tumeuzwa hatujijui
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani mama anaomba mahela tu uko jamani mpaka wananchi wake wanaogopa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni hatari Auntie...Ngoja tuone atakapotufikisha[emoji23][emoji23]
Au nasema uongo rafiki? Tutakaoteseka ni sisi ndugu zake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inakuwaje sio bora ili hali vilabu vyake vinafanya vyema kwenye mashindano ya Caf,ukitaja ligi bora barani afrika na zenye ushindani wa hali ya juu hii ligi ya South ipo kwenye 10Ndio
Thanks Makiwendo, I miss you tooKwema kabisa Rafiki yangu mwema...
You're missed big time Nige...
Sikutaka kukusumbua najua upo kwenye Mwezi mtukufu Rafiki..
Unaendeleaje wewe?
Sawa Shunie, sitakuwa napotea kiasi hiki tenaNaendelea vizuri jamani mfungo ndio ulikukamata mpaka usiingie jf usipotee hivi basi baba wawili
binamu hautaki kukubaliana na hali, jua limeshazama binamu[emoji3][emoji3]
[emoji28][emoji28]mimi kabisa nikasema nitaweza kutoa mahari!!!? Mimi huyu huyu kweli? Kwa kweli nahitaji uangalizi kama nilisema maneno haya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Au nasema uongo rafiki? Tutakaoteseka ni sisi ndugu zake
Nafurahi kusikia hivyo Rafiki...Thanks Makiwendo, I miss you too
Nipo poa kabsa, Mungu anasaidia, mfungo unaendelea vizuri pia
Nafurahi kukuona ukiwa unaendelea vizuri Maki
[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naogopa kucomment Rafiki...
Niliambiwa eti wewe ndiyo unanifundisha maneno maneno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante sana Maki, nashukuru aisee,tuombe uzima rafiki yanguNafurahi kusikia hivyo Rafiki...
Kila lenye kheri katika Mfungo wako..
Umalize salama... nitafurahi kukuona hapa tena.