Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
BOSI wa Maendeleo Soka la Vijana Yanga, Mwinyi Zahera amerudishwa tena kuwa kocha wa timu ya Taifa lao la DR Congo akichukua nafasi ya Mkongomani mwingine aliyetemwa katika mabadiliko.
Taarifa iliyotolewa jana na Shirikisho la Soka Congo ni imesema Zahera anarudi katika kikosi hicho kuwa kocha msaidizi akimsaidia Muargentina Hector Cuper.
Zahera anachukua nafasi ya kocha Daouda Lupembe ambaye ameondolewa katika kikosi hicho baada ya kupata kazi katika timu ya Sanga Balende inayoshiriki Ligi Kuu nchini humo.