ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,519
- 126,900
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 umeshindikana!!Sishabikii timu za sjabu mimi.
Unataka kusemaje yaani? Kwamba wanawake tumeshindikana kama aseno[emoji15]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 umeshindikana!!Sishabikii timu za sjabu mimi.
Unataka kusemaje yaani? Kwamba wanawake tumeshindikana kama aseno[emoji15]
Nitafsirie hiyo ngeli hapo, hakyanani hata sijaelewa, huenda umemaanisha mambo mazuri Tinsley 🤣🤣🤣Hahaha
Huu ni mpira tu , match hiii ikiisha ...kila kitu kitakuwa sawa [emoji23]
I'm rooting for you ujue .
Kocha mzuri ila nina mashaka na uongozi wa timu kama hautaingilia majukumu yake
Maana man u wanapenda kusajili wachezaji wenye majina ila wapate hela ila ukija uwanjani hawampi kocha anacho hitaji
Anha okayNitafsirie hiyo ngeli hapo, hakyanani hata sijaelewa, huenda umemaanisha mambo mazuri Tinsley [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aisee, hapo angalau.Anha okay
Maana yake ni hii
to express or show support for (a person, a team, etc.) : to hope for the success of
Fingers crossed ,Arsenal anashindaAisee, hapo angalau.
So, Arsenal anashinda hashindi?
NdioOoh so sad
Ndo maana juzi nilisikia mchambuzi akisema tatizo si kocha ila management yenyewe ina shida .
Ndio
Uongozi ukiwa na maamzi ya kazi inayo hitaji utaalam lazima mafanikio yapotee kabisa
Angalia makocha walio achiwa Uhuru wa kuamua timu iweje wanavyo pata mafanikio kwa wakati
Umeongea kwa hisia sana[emoji3578][emoji3578] Farhan Jr
Kitu kimoja kuhusu muda ni kuwa haujawahi kuongopa, kitu kimoja kuhusu maendeleo ni zile hatua, hakuna mtoto aliyezaliwa akaanza kutembea
Utaamua kuitaja Al Ahly na Zamalek na historia za wakazi wa Cairo, utawataja kundi la wenye pesa na kundi la walala hoi, wakajigawa na wakaunda timu zao! Sasa ni historia kwakuwa waliamini muda
Kuna siku uwanja wa Mkapa utapendezeshwa na moshi mwekundu ama baruti za sherehe, utapendezeshwa kwa ukuta wa watu kama Borg El Arab, Signal Iduna au Bernabeu
Kwakuwa muda unazidi kwenda, wanaona kwenye TV na wanasafiri wakijifunza, ile Roma haikujengwa kwa siku moja, waulize Mapacha wawili Romulus na Remus waliujenga mji ule miaka 753 kabla ya ujio wa Yesu
Kuna muda utafika Mkapa kujaa haitohitaji kelele wala watu kuzunguka sana, Shabiki ataingia kwenye simu atalipa tiketi yake na kusogea kwa Mkapa! Wakati huo taarifa ni press release, social networks na App
Kuna muda utafika, huo wasaa ukifika watu watakata tiketi za msimu! Watalipa kadi za wanachama bila shuruti, watakata kadi za Mashabiki bila kelele! Huo muda utafika
Hakuna aliewaza Real Madrid itakuwepo ilipo leo! Sio Mchezaji wa zamani wa timu hiyo alikuwa anaitwa Santiago Bernabeu Yeste, wala sio Juanito Sanches Santillana, ni muda tu ulifahamu
Ni lini hiyo siku itafika Tanzania? Ni siku ile ubingwa wa Afrika umetua nchini, uwe Shirikisho au Klabu bingwa ndipo hapo mpira wa nchi utabadilika rasmi na kwenda kwenye dunia ya kileo, sio mbali sana tunakaribia kufika
Natamani kusafiri mbele ya muda ila wanasayansi na somo la TIME TRAVELLING wanasema nitulie hapo hapo Ifakara, Morogoro jimboni kwa Mheshimiwa wangu @asenga__abubakar nisiseme kitu ila muda utafika huenda sio miaka hii ila utafika
View attachment 2196639
Kweli mkuuAisee mbaya sana inawacost big time
Yeah hili ni kweli kabisa makocha wengine wanafanya kazi nzuri sana ....inatakiwa wasiingilie sana mambo yao .
Well said [emoji1547]Kweli mkuu
Kwenye maisha ukiwa huru kuchagua mtindo unao penda utafanikiwa kwa wakati
Nimekuita kwa wema Shem...Shem mimi sio kapuku, unaniita huku unataka niwe kapuku kweli? Kwa salam hii na baridi hii mdogo wako ataona wivu, we subiri tu..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakumbuka ile siku unamwambia mzee mtu chake kweli notification umepata maana ninavyojua kwa app kipengele nilicheka kimoyomoyo nikasema auntie amemaanisha mzee alikuwa anasoma kimyakimya akaona ametajwa ameibuka
He he he...Alisema haji huku ye sio kapuku
Mungu Ibariki SimbaUnaambiwa Johannesburg kwa sasa yote ni RED [emoji837]View attachment 2196638
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wengi sana wanaopita kimyakimya na hatujali wala nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa kuna watu wanapita kimya kimya Auntie..
Ila auntie mbona una kauchochezi jamaniHe he he...
Nimemuita kwa faida yake..[emoji28]