Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
AmeenMungu Ibariki Simba
AmeenMungu Ibariki Simba
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wengi sana wanaopita kimyakimya na hatujali wala nini
[emoji23]Ananilalamikiaga sana huyo...Ila auntie mbona una kauchochezi jamani
Kwahiyo umeamua sasa umchongee[emoji23]Ananilalamikiaga sana huyo...
Ananiambia mimi najua mambo yake mengi eti namficha...
Leo nimeona nimuite tu..
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa naanzaje kuwa na shida kumuomba Lee wangu mill 10 si nitakuwa namtafutia sababu tu ya kuachana na mimi
Najua uwezo wake namjua alivyo nikikwama nitamuomba kutokana na uwezo wake tu
Kifurushii kinaisha lini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa naanzaje kuwa na shida kumuomba Lee wangu mill 10 si nitakuwa namtafutia sababu tu ya kuachana na mimi
Najua uwezo wake namjua alivyo nikikwama nitamuomba kutokana na uwezo wake tu
Shem square ...anko wangu umemficha wapi[emoji23]Ananilalamikiaga sana huyo...
Ananiambia mimi najua mambo yake mengi eti namficha...
Leo nimeona nimuite tu..
Sawa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeshindikana!!
Mchele ukija sikugawii, babe wangu ataninunulia simu ambayo haina tunda[emoji126][emoji126][emoji126]Nimekuita kwa wema Shem...
Usije kunilalamikia baadaye....
Na halafu hapa hakuna kapuku hata mmoja. Unatujua vizuri wewe?[emoji28][emoji28]( kidding)
Mungu which!! Hebu acheni kumuhusisha Mungu na mambo ya kijinga.Mungu Ibariki Simba
Mnamuongelea nani?[emoji23]Ananilalamikiaga sana huyo...
Ananiambia mimi najua mambo yake mengi eti namficha...
Leo nimeona nimuite tu..
Babe umeme [emoji22]Kifurushii kinaisha lini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa sautiMchele ukija sikugawii, babe wangu ataninunulia simu ambayo haina tunda[emoji126][emoji126][emoji126]
Mambo ya kijinga yapi bwana acha tumuombe MunguMungu which!! Hebu acheni kumuhusisha Mungu na mambo ya kijinga.
Kwamba auntie huelewiMnamuongelea nani?
Woiiiiiii namba ya nyumba mpya sinaBabe umeme [emoji22]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mimi hivi ya zamani ulikuwa nayo nitumie basi nitanunua mwenyewe kwa mpesaWoiiiiiii namba ya nyumba mpya sina
Hahahaha ya zaman nilikuwa nayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mimi hivi ya zamani ulikuwa nayo nitumie basi nitanunua mwenyewe kwa mpesa