Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,186
- 35,340
Auntie nikuambia usimwamwini sana huyo, ona sasa!!! Na mimi ndiyo umegoma kuniamini[emoji23]Sasa bora hata auntie maki ako na vits sisi tunaotembea kwa miguu auntie
Auntie nikuambia usimwamwini sana huyo, ona sasa!!! Na mimi ndiyo umegoma kuniamini[emoji23]Sasa bora hata auntie maki ako na vits sisi tunaotembea kwa miguu auntie
TuliaNa utasapraizika kweli, we shangilia tu.
Shem!!!Ukija huku nitakupa ruhusa ya kukagua kibubu changu ukijua ndio utaamua
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Auntie jamaniii utake nini tena
Unahitaji maombi na mbengo zekofongokee.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanini umenichekesha hivi wewe...
Kwamba?Shem!!!
NaaamShem!!!
Aaaah mama uchaguz wako nitauheshimuChagua mwenyewe.
Namsalimia tu Shemeji yangu...Kwamba?
Angepumzika kwanza dahMshambuliaji wa Manchester United, Cristiano Ronaldo tayari amerejea kwenye mazoezi na timu kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya Arsenal hapo kesho April 24 kwenye uwanja wa Emirates.
View attachment 2196441
Ngoja tusubiri siku ya matchYaani hawa bwana. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2196453
Hahahaha nimecheka jamani [emoji23][emoji23][emoji23]Ila Julio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2196454
Kaka.Aaaah mama uchaguz wako nitauheshimu
Nichagulie
Ameen auntieMungu ametuoneakania....
Tuseme Amina...
Nakumbuka ile siku unamwambia mzee mtu chake kweli notification umepata maana ninavyojua kwa app kipengele nilicheka kimoyomoyo nikasema auntie amemaanisha mzee alikuwa anasoma kimyakimya akaona ametajwa ameibukaSasa watumiaji wa App. Notification kipengele..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Auntie nikuambia usimwamwini sana huyo, ona sasa!!! Na mimi ndiyo umegoma kuniamini[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuja na uzi ni ujinga wako na uzee huo uzi wa nini sasa kwamba ndio atakuwa wa kwanza au[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ili nirudi na uzi wa kilio!!