Makapuku Forum

Makapuku Forum

Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Annalena Baerbock amesema Ujerumani inaangalia ni matengenezo gani ya ziada na vifaa vitakavyohitajika kwa ajili ya vifaru vyake vya kivita vinavyozeeka ili Ukraine iweze kuvitumia.

Katika siku ya pili ya ziara yake ya mataifa ya Baltik, Baerbock amezungumzia ukosoaji wa Washirika na Wachambuzi wa kujikokota kwa Ujerumani katika kupeleka zana za kivita ambazo Ukraine inasema inahitaji kwa ajili ya kuyazuia mashambulizi ya Urusi.

Wachambuzi wengi wanasema Ukraine inahitaji kwa dharura zana nzito ili kuukabili uvamizi wa Urusi ambao kwa sasa umeelekezwa upande wa kanda ya mashariki la Donbas.

Akizungumza katika kikao cha Waandishi nchini Estonia, Baerbock amesema kipaumbele kwa sasa ni kuhakikisha Ukraine inapata haraka silaha za zamani zilizotengenezwa enzi za Kisovieti ambazo jeshi lake linaweza kuzitumia bila kupewa mafunzo ya ziada.
Screenshot_20220422-175145_OGInsta%2B.jpg
 
Mbunge wa Mvumi, Livingstone Lusinde amemuomba Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe kuiomba radhi familia ya aliyekuwa Rais awamu ya tano, Hayati Dr. John Magufuli na Watanzania kwa kauli yake aliyoitoa hivi karibuni kumhusu Kiongozi huyo.

Lusinde amesema Zitto alisema wanaompenda Magufuli waende kuzikwa nae, kauli ambayo Lusinde ameipinga vikali akisema kuwa Zitto anatakiwa kuomba radhi kwani hata chama chake kilimpoteza Mwenyekiti, Maalim Seif Sharif Hamad lakini wao hawamuombei mabaya.
Screenshot_20220422-174327_OGInsta%2B.jpg
 
Kwanza tuache, kama unashabikia "manure" naomba unyamaze tu. Sisi wavumilivu, tuna vitambi...hata kuishi na wanawake tunaweza..ukiishabikia arsenal upo kwenye list ya wanaoweza kuishi vizuri na wanawake.
Sishabikii timu za sjabu mimi.
Unataka kusemaje yaani? Kwamba wanawake tumeshindikana kama aseno[emoji15]
 
Back
Top Bottom