Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Hapo sasa .. hiyo ndo starehe yetu pekee iliyobaki . ...Tule tujigaragaze [emoji23]Kwakweli kipenzi acha tu tule yaani kiufupi mambo mazuri mazuri na matamu nayapenda sana yaani niwe na hela nijitese hapana jamani maisha ni hayahaha na tunaishi mara moja