Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Anha okayShoppers plaza
Thanks
Anha okayShoppers plaza
dah inabidi uje kula dakuLoc. Mtu chake...
Auntie sina wivu hata yaani moyo umeshachoka. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Waganga wamejiongeza[emoji23]Hahaha hao waganga ni sehemu ya uchumi wa kati
Shoppers plaza
Nafurah kusikia uko byeeNiko poa sana Makaveli...
Namshukuru Mungu..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah inabidi uje kula daku
Kaka ndio nmekuja mtaani kukucheki, kukupa mualiko rasmi....nipo sana kaka, Ramadhan imekuficha kaka, hata hatualikani futru.
Nipo mjini, nitaweza kukucheki
Mwambie asogee mkuranga huku, hata akifumaniwa niwahi kwenda kumuokoa.Yuko kisemvule kwa mchepuko mkuu
Vipi hali mzee?Chief...heshima kwakoo
Kikuu na kirikuu ni baba mmoja, mama mbalimbali....anko mimi bado swali langu hujalijibu kabisa Kikuu ni nini?
Ukiagiza kitu online lazima usome vizuuuri description, utizame vipimo vyake. La sivyo ukiagiza kwa kutizama picha ina eat to you, yaani inakula kwakoHahhaha aisee
A friend of mine aliorder suti kupitia kikuu ,akawa excited kuona suti yake .. alipopokea hiyo delivery alipewa suti ya mtoto wa miaka 6 .
Kwa vifaa vingine labda wapo vizuri ila kwenye oufits hapana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kaka hebu nipe kwa ufupi habari za humu kipindi sipoNdugu
Anaipata vizuri, nyie subirini.[emoji23][emoji23][emoji23] laana kwa mkwe hivi anaipata
Shukrani.sheikh karibu ununio
Hivyo hivyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi umeelewaje lakini hiyo kupokelewa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila mawazo yako sijawahigi kuwaza hivi ikizama tunamwachia Mungu
Wacha bwana!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapole sisi ukibisha basi
Bunge la nchi gani?Dr. Tulia ni spika wa bunge huyo[emoji1787][emoji1787]