Hahhaha auntie kule kuna vitu na vitu vya kuagiza vinafika vilevile kama vilivyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenyewe kikuu kwa kweli....Basi tu.
Kitu walinifanya naogopa hata kukuonesha kwa watu[emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Inabidi uagize chakula maana ukisema upike unapitwa, unakuta uzi ushafutwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tungekuwa busy na kazi kama umbea walah tungekuwa na ghorofa sasa[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Kasema hapajui we ndio unapajuaAkikujibu niite Auntie[emoji2]
Sanaaa aisee ni zaidi ya mshkaji Mungu azidi kutuwekea tuYaaaani!!!
Kwanza atacheka, halafu ana yale maswali yake ya kichochezi[emoji28]
Ngoja niishie hapa...Itoshe kusema ni mtu poa sana..
[emoji2][emoji2]Mayele anaweza kusubiri kwa huo mtetemo..Nitakuwa natetema huku zaidi ya Mayele, hata energy drink haitonifaa. It shall never be my portion [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Naaaam Shem lake...Makiiiiiiii shem square
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha tu...
Mwenyewe kuna huyo mtu siku zote najua simu yake macho 3...
Sasa siku hiyo kaenda Kitchen..sink likikuwa alipitishi maji likawa limeziba..maji yamejazana kibao.. alikuwa ananawa mikono ile amefika akaibana simu na midomo( lips) kama wengi tunavyofanya...
Ile anaanza kunawa tu simu ikadumbukia...
Kuitoa watu wakaanza kumshauri, Wengine waliokuwa wanajua ni Macho 3 halisi wanamwambia hiyo ina water proof haiwezi kuingiza maji[emoji2]
Ile kuivua cover sasa[emoji28][emoji28][emoji28]
Badala ya watu kumhurumia kila mtu aliangua kicheko..Mimi nilicheka hadi machozi[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndii usikie auntie aliniambia kuwa picha zinasambaa alijua nitaogopa nikamjibu tu ndio vizuri acha nitrend[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eeeeeh!!! Mbona hilo hujaniambia Auntie?
Ndiyo nasikia...
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Aunt Espy kikuu wananiuliza location ya kupokea mzigo wetu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Karibu tena na kuna aunt yetu humu unaweza kuwa faraja yake [emoji4][emoji4][emoji4]
Hahahha kiboko yake atakuwa nani sasa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Yule hatuwezi kumpea huyu Shem...
Yule anafaa apate kiboko yake[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka sana halafu nipo kwa daladala nitaonekana chizi ujue eti auntie makii unavyokuja si ndio tunavyokupokea
Mmmmmh!!! Auntie!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli kabisa auntie watu wanatuonea wivu na wereva zetu
Moyo umeenda paaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimekuta mentions zenu, nusu nitupe simu. Nikajua nasutwa leo [emoji16][emoji16][emoji16]
Mweee[emoji38][emoji2969][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] auntie yaani we na Saint Anne hamna tofauti yaani ulivyonijibu
[emoji28][emoji28][emoji28]Babe hii kazi naona unaipenda
Hee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yule mtoto hapana...
Yule amenizidi Aiseee[emoji23]
Kabisa Auntie..ila ni kuwa makini sana[emoji2]Hahhaha auntie kule kuna vitu na vitu vya kuagiza vinafika vilevile kama vilivyo
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kasema hapajui we ndio unapajua