Ukiniita nikifika nacheeeka, yaani huo ndio msaada nitakaokupa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku hizi nakomaa kila iitwapo leo..
Kulia nimepunguza...
Vikinishinda si ninakuita...Maana ndugu yangu wewe na yake maneno yako[emoji114]
Kwendaaaaa!Swali zuri!!!
Ndio ndugu zako huna namnaNakosaje amani sasa na mnanipa stress tu kila siku[emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tunadanganywa hivyo...
Babe this....Babe that, kikubwa Uhai[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani me mwenyewe sijui nitafanya woiiiiii tukifanya auntie tutakuwa pamoja maisha ndio hayahaya bwana tunaishi mara moja tuNakosaje sasa Auntie Akeee..
Hiyo ni lazima, huna hata haja ya kuniomba...
Mimi huyu nakosaje?[emoji2]
Yangu keki Inifikie tu Auntie..Shughuli tutajua mbele kwa mbele..Hata kwenye chupa za kijani huko[emoji2]
Dota unataka kusema umementioniwa na wachambaji?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimekuta mentions zenu, nusu nitupe simu. Nikajua nasutwa leo [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ujue utasababisha mzee mtu chake aje ajue ameitwaSasa alimaanisha mtu chake gani jamani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lipa madeni yangu tumalizane. Lasivyo nakufungulia uzi, nitaunganisha na Shunie humo humo.
Jinga kweli hili dudu, akili zake kama ndugu yangu mmoja hivi[emoji2297][emoji2297]
Hatujambo Makaveli...Ndugu zangu wa daaamu kabisa, hamjambo humu?!?
Auntie upo kama mimi woiiii nikiwa na kitu nalia halafu nikimwadithia rafiki au ndugu napata unafuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku hizi nakomaa kila iitwapo leo..
Kulia nimepunguza...
Vikinishinda si ninakuita...Maana ndugu yangu wewe na yake maneno yako[emoji114]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuhusu kikuu umenikumbusha jana ila Lee kuan kitu alikuwa anataka na hiko kitu kipo kikuu tu namwambia nikuagizie ooh hapana kama kipo kikuu yaani anahisi vitu vya kikuu vya uwongo haviendani na picha yaani nimefanya kazi kumuelekeza naona imeshindikanaIphone ya kikuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkwe popote ulipo God is watching you.
Mbengo zetafongokhaaaaaaa!Mimi nimeokoka na nampenda BWANA aiseee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Naaam auntie hatujali wala nini mapenzi yakiisha tunamwachia Mungu tuTunadanganywa hivyo...
Babe this....Babe that, kikubwa Uhai[emoji2]
Kweli auntieAsikutishe huyo, achana nae. We jiandae kupokea zawadi ila sasa Dec kweli unazaliwa!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hao wakina kalumbu ni kiboko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kwenye uzi sisi tunahusika vipi jamani
[emoji23][emoji23][emoji23]Haki alonirogea ndugu zangu aombe nisimtambue. Nikimtambua nakihamishia usoni.