Makapuku Forum

Makapuku Forum

Jizazi! Itabidi nimwandikie barua Mello wakupige marufuku kubadili ID angalau mpaka mwaka huu upite [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngosha huwezi kuninyima hiyo fantacy walah!! Hapa wameniambia ninaruhusiwa kubadili mara 2 tu mwaka huu nimewamind nataka nikakate rufaa kabisa.
 
Shem una nini?

...hujawahi kuuziwa vitu bar shemeji? Jamaa wanakuja wanauza kuanzia chupi.

Nimekaa na mama yenu tunakunywa wakaja wawili mmoja anauza shanga na mwingine aliponiangalia akaona kitambi akasema anauza vumbi la Congo.
 
Siku ile ulipotaja ID zako zote ulizowahi kupitia niliandika mahala lakini sijui nilipotezea wapi hiyo notebook. Unaweza kuzirudia tena hapa ili niwe na kumbukumbu vizuri? Unachosha hata kukufuatilia aisee!
 
Atoto
Espy
Jael
Habun
Espy Eroni
Espy Atoto
 
Back
Top Bottom