Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hovyoooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hovyoooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...hujawahi kuuziwa vitu bar shemeji? Jamaa wanakuja wanauza kuanzia chupi.
Nimekaa na mama yenu tunakunywa wakaja wawili mmoja anauza shanga na mwingine aliponiangalia akaona kitambi akasema anauza vumbi la Congo.
Asante kwa magazeti
Shangaa na wewe[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Unaanzajeeee
Nilitaka kucomment kitu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Atoto
Espy
Jael
Habun
Espy Eroni
Espy Atoto
[emoji23][emoji23]Kwendraaaa!
Ndio, ni baba mdogo[emoji1787][emoji1787].....haya yote majina yako shem!? Una undugu na John Mbatizaji!?
Yaani sikukuu mkajificha wenyewe!! Sitaki undugu na nyie mimi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Unaanzajeeee